BIBLIA YAONYESHA KUWA NI UWEZO WA MUNGU
Ninani au Roho Mtakatifu ni nini? Ni sehemu gani Roho Mtakatifu anashughulika katika kazi ya Mungu? Haya ni maswali ya maana na ya ndani. Yatupasa tutengeneze ulizo letu huku tukiwa wanyenyekevu kwa sababu hii tukijua tunachunguza mambo ya Mungu. Uchunguzi wetu wote utakuwa hauna maana ikiwa Mungu hakututia moyo kutafuta kwa kadri tuwezavyo kwa njia ya Biblia, ambayo ni Neno Lake lenye maarifa mengi. Hebu basi na tuvumbue kile alichotuambia kuhusu Roho Wake.
Maelezo kadhaa yanapatikana ndani ya Biblia ambayo yanaonyesha Roho huyu Mtakatifu na yaliyowekwa ni:
|
"Roho ya (wa) Mungu" |
(Mwanzo 1:2; Mathayo 3:16) |
|
"Roho ya Bwana" |
(Isaya 11:2; Matendo 8:39) |
|
"Roho yako mwema" |
(Nehemia 9:20) |
|
"Roho ya Bwana Mungu" |
(Isaya 61:1) |
|
"Roho yake Mtakatifu" |
(Isaya 63:10-11) |
|
"Roho ya Baba yenu" |
(Mathayo 10:20) |
|
"Roho" |
(Yohana 1:32) |
|
"Roho Mtakatifu wa Mungu" |
(Waefeso 4:40) |
|
"Uweza wa Bwana" |
(Luka 5:17) |
Ieleweke kuwa Agano la Kale neno "ya" limetumika mara nyingi kuliko katika Agano Jipya, ambapo neno "wa" ndilo linapatikana.
Maneno Mungu Roho Mtakatifu hayapatikani katika Biblia. Walakini, kuna muunganiko mkubwa sana ulio dhahiri kati ya Mungu na Roho Mtakatifu. Kweli, Roho amesemwa ni wa Mungu, wa "BWANA", "wa "Bwana Mungu", na "Baba yenu". Kwa maelezo ya orodha iliyotolewa hapo juu ndivyo yanaonyesha kuwa Roho ni ya (wa) Mungu mwenyewe. Kama hii orodha ndiyo tutaifanya iwe ni mwanzo wa safari yetu ndani ya Maandiko, basi tutakuta maendeleo hayatakuwa na shida kwetu.
Tazama kwenye maelezo yafuatayo yahusuyo uumbaji:
"Hapo mwanzo Mungu aliziiumba mbingu na nchi … na Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji." (Mwanzo 1:1,2).
"BWANA Mungu akamfanya mtu wa mavumbi ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake; naye mtu akawa nafsi hai." (Mwanzo 2:7).
"Roho ya Mungu imeniumba, na pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai." (Ayubu. 33:4).
"Ameiumba dunia kwa uweza wake … Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake … kwa ufahamu wake amezitandika mbingu." (Yeremia 10:12; 51:15).
UWEZA WA MUNGU KATIKA UUBAJI
Huu ni baadhi ya ushuhuda mwingi katika Biblia kuhusiana na kazi ya Mungu kwa uumbaji. Yeye peke yake kwa hekima Yake aliubuni mpango wa ajabu, nao ulitimizwa kwa uweza wake Mwenyezi, Roho yake. Mungu ni Roho (Yohana 4 :24, U.V), na lolote afanyalo ni kwa Roho yake.
Ni kwa jinsi gani uumbaji unadumu kwa kuwepo? Je dunia ni kama saa kubwa, iliyozungukwa na. Mwenyezi na kuiacha iende mbio za polepole kushuka? Au BWANA Mungu bado yuajishughulisha kuhusiana na kile alichokifanya?
Bib~.ia katiKa sehemu zote za maandi.shi inatuambia kuwa uur~ba~;i anatnis».~~.~-~ shwa na ~ungu naye yupo kila mshali popote na ndani ya ~ote aliyoya~'ar~Ya. Pasi~o Yeye ha~c~.tna kitu kitakachoweza kuishi au kuendeiea Kuisrii:
"I~~un~u aliyeufanya uli~uwengu na vitu vyot~ .... ana~rapa wot~ ~:.~i.~~ : p~mzi . . . . ridani yake yeye ~uist~i, tunakwenda, .~a icuw~. n~. ~zt~ai we v~.~, " ( T~,~atendv 1'~ : 24-2a )
"i~a~f~a a~imwekea rntu moyo waxe, aki~ji.kusanyia pu~zi r~a ror~~ ,y~a~~; ~YFar~,~; F: mwili wote w~taan~;amia par~aoja, r~ao wanactau~u watarP~jea '~ena ~c:xw3 (Ayubu ~4:14-15)
"~.:tafuteni yeye ~fanysye nyota saba na Orioni, r~a ~uKi.~eu~a ~:~.~,°:~~:. ~~ ~ mauti kuwa asubuni, na kuufanya mchana i~uwa ~iza ~cwa usixu; ~,~
maji ya bahari, na kumwaga juu ya uso wa nchi; B'v~Aiv~ na~.~.o ~ ir~~ ~.~:,:~°" (Amosi 5:8).
~iunF:u ameenes KatiKa viurnbe vyaxe . Vyote vinat'a.nya kaz i ~~~~: s~F i.~~; ~a =. r. ,.... . ~ ya Roho ya kuvihiiadizi, nguvu za :~iura~u zi~itimiz~: x~~s~~di I~~:~~ ~er~ v
1.. . ~:. A n d q
~Hatuta~ist~ug't~ulisha ha~a na mafunzo yanayoausiana ::a Uar~Lu. ~:~a.~~~:~ : ~itafaa k~ztenc~ewa vyem~ ~cwa kupati~arla kati~a r~itabu kina.rrlVa 4·~·v
au Wrva~~a ~,~~. t~:I..i.tl~i.i'a ( ona nya~aa ~~a ~; o.rada l~ ~c ~. t=:;;a.z 111 ~; ~ ~~ ~ .,. .