CSSA 2-4-04 - REJECTED BY HIS HOME TOWN—NAZARETH

English

204. KAAKATALIWA NA MJI WA KWAO - NAZARETH

“Amini nawambia hakuna nabii anayekubaliwa nchini kake”

Yesu aliendelea kusafiri tokea Samaria hadi kufikia huko “Nazarethi ambako alikuw aamelelewa” yalikuwa mapokezii ya Yesu wa Nazarethi ambayo yalitazamiwa hapa, hasa hasa jwa jywa sifa yake ilikuwa imeenea mno huko Galilaya naye alikuwa “akitukuzwa na wote” lakini, watu wake mwenyewehawakuitikia ujumbe wake naye ali[powatamkia kuwa siyo waaminifu, ikawa kero kuuu kwao nao walimkataa ili atoke kwenye Sinagogi (msikiti) wao na mjini. Kwa sababu walimuelewa Yesu na familia yake, hawakuweza kutambua ya kuwa alikuwa zaidikuliko kuwa mwana wa Maria. Dharau yao iliwazuia wasipate ujumbe wake, (Luka 4:16-38)

Msafiri mmoja huko Nazarethi alieleza Nazarethi, hauwezi kuona ukiwa Nazarethi nchi inayozunguka, kwani Nazarethi unakaa katika konde, lakini muda ukipanda tu kwenye ukingo wa bonde ” ….si uzuri huo unaonao. Edraloni uko mbele yako, pamoja na viunga vyake ishirini vya vita –sehemu za ushindi wa Baraka na Gideoni, za kushindwa kwa Sauli na Yosia, kuna shamba la mizabibu la Nabothi na mahali pa kisasi cha Yehu kwa Yezebeli, ipo pale Shunemu na nyumba ya Elisha pale Karmeli na mahali pa kafara ya Eliya. Mashariki ya bonde la Yordani, pamoja na safu ndefu ya Gileadi; magharibi uangavu kwa bahari kuuu … unaweza kuona umbali wa kilometa 50 kuelekea pande tatu” (Smith, Hist, George, page 432).

Nazarethi walakini, ilipata sifa mbaya katika Israeli labda kwa ajili ya watu kukosa uadilifu (desturi bora). Watu walikuwa maskini kiasi katika vitu, lakini mbaya zaidi sana kuliko alivyosema “inawezakana chochote chema (kizuri) kikatokea Nazarethi?”(Yohana 1:46)

 

Kurejea Nazarethi

Yesu alijua Nazarethi vizuri mitaa watu, shule ya ma-rabbi, kisima, suko la seremala alilolifahamu, miinuko au vilima, vilivyozunguka mji, na Sinagogi, alikuwa ameishi akiwa kijana bado katika mji huu mdogo na kufanya kazi kama seremala. Bila shaka wengi kati ya wanamji walimfahamu kwani hakuwahi kuondoka kuenda nje ya mji kwa muda mrefu. Bado watu hawakumfahamu kilahisi kwa sababu mtindo wake wa maisha, malengo ayke na hatma ya hai wake vilikuwa mbali mno kuwa nje ya upeo wa kuvielewa,. Walikuwa wadadisi kuona iwapo uzuri wote waliousikia juu ya umaarufu na nguvu ya “mwana wa Yusufu” yalikuwa kweli.

 

Huduma katika SInagogi (Luka 4:16)

Sinagogi huko Nazarethi, mahali am,bapo watu wa NAzarethi walikusanyika kwa ajili yya maelekezo katika maandiko na kwa ajili ya ibada (Kuabudu) lilikuwa pengine jingo rahisi la pembe nne. Wakati wa kui9ngi kulikuw ana viti upande mmoja kwa ajili ya wanaume na upande ule mwingine nyuma ya pazia kulikuwa viti kwa ajili ya wanawake waliovaa buibui kuzuia mwili. Mbele palikuwepo madhababu iliyokuwa na maandiko ambayo yalishikwa na “mhudumu” au msaidizi wa mtu alaiyesoma, kuongezewa kwa nyongeza ndani ya huduma ya magofu palikuwepo sala (maombi) somo kutoka kwenye sheria ya Musa, somo kutoka kwenye maandiko ya kinabii na maelezo juu ya usomaji (masoo) yote.

Kama ilivyokuwa desturi yake Yesu aliingia katika SInagogi siku ya sabato,. Mkuu wa Sinagogi akampatia Yesu ruhusa kusoma kutoka kwa manabii, na kwa hiyo alikuwa huru kuongezea maelezo yake mwenyewe, juu ya somo hilo. Msaidizi akampatia kitabu cha Isaya ambacho alikifungua mahali ambapo sasa tunapajua kuwa Isaya 61:1-2, alisoma aya mbili na ndipo, akama ilivyokuwa sesturi akaaka chini karibu na chombo cha kusomea kuwaelekeza watu.

Bila shaka palikuwa na hali ya shauku wakati wanamji wa kawaida wakitayarisha kusikia maneno ya mwana wa seremala. Kila jicho lilielekezwa kwa yule amabye uvumi wa kigeni na wa kushangaza ulikuwa unaenezwa.

Yesu akasema “leo hii andiko hili limetimia masikioni mwenu” alikuwa amesoma juu ya Roho wa Bwana kuwa juu yake, kuhubiri, kuponya na kuweka huru, usomaji wake ulikuwa umekwishilizia na maneno ya neema kuhusu kazi yake “kuhubiri kutangaza mwaka wa Bwana uliokubalika au enzi ya baraka”(mst2)

Hili hiliwashangaza watu kwa sababu Yesu mwana wa seremalaaliyatumia maneno maku ya nabii kwake mwenyewe hapakuweza kuwa na ukosefu wa maana ya kile kilichokuwa kimetamkwa lakini walitia shaka hukusu dai lake. Katika akili zao zenye utovu w aimani hao watu hawakuweza kuona zaidi ya kweli ya kwamba Yesu alishakuwa mmoja katika orodha yao. Hili likadhihirisha kuwa kuzuizi kwako kuamini kuwa alikuwa mwana wa Mungu. Wakachukizwa naye.

Yesu alipoendelea, mshangao wa ushirika ule ukageuki kuw achuki, watu walikuwa na weledi uelewa wa maana ya maneno yake nao wakataka uthibitisho wa nguvu zake akiwa kati yao. Yesu akseama “hakuna nabii anayekubalika katika nchi yake mwenyewe” akirejelea ukweli kwamba hawangemkubali hata angalifanya nini, akihisi msimamo huu wao kwake, akatoa mifano miwili kukoka kwa manabii wa zamani, ili kuamisha ya kwamba ingaweje nabii mkuu kuliko Eliya au Elisha alikuwa kati yako, isingalifuatana kuwa nguvu ya Mungu angeonyesha naye. Hawa kusitahili liile, kama vile kutokustahili kwa Waisraeli wa kale kulimfanya Eliya na ELisha kwenda kwa mwanamke wa kimataifa na mkoma wa kimataifa kama walivyohusika, ingawaje walikuwemo wajane na wakoma wengi katika Israeli, Yesu alikuwa akiwaeleza ya kwamba hawakuwa bora zaidi kuliko wazazi wao wa kale waliwaowazaa ambao walliwakataa manabii na kwa hakika hawakuwa bora zaidi kuliko wa mataifa Fulani ambao walkishuhudia nguvu za manabii.liilikuw alimezidi (limekithiri) uzito kwa hao watu, wakajaa hasira na kumoa kwenye Sinagogi lao, na kumwongoza (kumsukuma) mpaka kwenye ukingo wa kilima kirefu ambamo Nazarethi ulikuwa umejengwa, wakikusudia kumtupa chini ya mporomoko huu kichwa kikitangulia. Lakini kwa muujiza, Yesu bila wasiwasi akatembea katikati yao na kujiondokea kwenda zake. Hapana shaka alishangaa na kusikitika kwa utovu wa imani ulioonyeshwa na hao watu, ambalo lilimzuia kuonyesha miujiza pale au huko.

 

Kuja mar aya pili (ujilio wa pili)

Katika huduma ya Sinagogi Yesu alisema manano yafuatayo “Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa kuwa amenitia mafuata niwahubiri maskini habari njem amenituma kuwatangazia kufunguliwa wafungwa na kurejesha macho kwa vipofu kuwaweka huru waliopagawa kutangaza mwaka uliokubalika wa Bwana”aliacha maneno yafuatayo katika nukuu kutoka kwa Isaya “na kutangaza sikuya kisasi ya Mungu wetu”

Kama angejumuisha maneno haya asingaliweza kuongeza “leo andiko hili limetimia masikioni mwenu” Yesu hakuja wakati ule kuhukumu watu, bali kuhubiri toba, ukombozi na ufalme wa Mungu (Yohana 3:16-17). Kuwasaidia watu lkuamini alitenda miujiza kama vile kuponya vipofu na kuponya wengi magonjwa yao.

Walakini atakapokuja mara ya pili itakuwa ndiyo “siku ya kisasi” atatekeleza hukumu ya Mungu juu yao wote wasioamini “katika moto uwakao akilipiza kisasi juu yao wasiomjua Mungu, nao wasiotii injili ya Bwana wetu yesu Kristo”(1Thesalonike 1:8). Kwa njii hii, ulimwengu utakaswa na mwanadamu ataweza kumtukuza mungu kama alivyokusudia tangu siku ya uumbaji.

 

Fundisho kwetu

Yesu alitoa mifano miwili juu ya jinsi wa mataifa waliwapokea manabii wa kale. Mjjana wa Serepta aliokolewa kutoka na kifo kwa ajili ya imani yaek, na utiifu kwa agizo la Eliya. Naamani Msiria mwenye ukoma, aliponywa kwa kunyenyekea kwenye kitendo cha kuoga mara saba katika maji, machafu yam to Yordani kwa tendo linalolingana na lile la ubatizo. Katika matukio yote mawili au katika hali zote mbili imani na utiifu vilikuwa lazima.

Kwa upande mwingine tunao watu wa Nazarethi waliokataa kuamini ya kwamba Yesu alikuw andiye Masihi aliyetabiriwa na Isaya. Walidhihirisha utu asili katika hali mbaya kabisa kwa kluwa na dharau kwa mmoja katika ujumla wao. Kwa sababu ya kumkataa yeye wakati ule, nao watakataliwa na yeye katika siku ya kisasi inayokuja.

Sisi sote inatupasa kufanya chaguo letu kw asababu Mungu anatuita sisi nay eye anahitaji jibu. Hivyo wakati tungali vijana wadogo, inabidi kujifunza yote tuwezayo kuhusu nen la Mungu ili litakapofikia umri wa ngumbaru, tunaweza kuchagua kwa hekima nji ambamo Yesu angalipenda (angalitaka) sisi tuiendee. Iwapo tunamini kwamba Yesu Kristo ni mwana wa Mungu, ndipo tutatakaswa kutokana na dhambi zetu (kama Naamani kutokana n aukoma wake), na tunaweza kuwa na hakika ya kwamba yeye atatupatia wokovu. Hadithi ya mjane na Serepta waliamini na kutii Eliya, ni mfano wa ukombozi unaotokwa kwao wale wanaoamini na kutii maagizo ya Bwana Yesau Kristo.

 

Maktaba rejea

“Story of the Bible” H.P Mansfield) vol 8, pages 138-143

“A life of Jesus” (M,Purkis) pages 91-94

“Nazareth Revisited” (R,Rorberts) chapter 15

 

Maswali ya paragrafu

  1. Je kulikuwa na tatizo gani katika msimamo wa watu wa Nazareth waliposikia maneno yake katika SInagogi yao?
  2. Kwa nini Yesu hakumaliza Isaya 61:1-2 aliposoma huko Nazarethi?
  3. Kwa nini watu wa Naazarethi walijaribu kumwua Yesu kwa kumtupa kwenye genge (maporomoko) wa mlima?

 

Maswali ya insha

  1. Eleza nini kilitokea Sinagogi huko nbazarethi wakti Yesu alipoamka kusoma?
  2. Kwa nini Yesu alitaja mjane wa Serepta na Msiria Naaman kwa Wayahudi wa Nazarethio?

 

 

Swahili Title
204. KAAKATALIWA NA MJI WA KWAO - NAZARETH
English files
Literature type
Sub type
Sub sub type