CSSA 2-4-09 - HEALING AT CAPERNAUM

Swahili

209.UPONYAJI KULE KUPERINAUMA

“Ili muweze kujua kuwa mwana wa Adamu ana nguvu duniani kusamehe dhambi”

Siyo tu yesu alihubiri juu ya vielelzo vinavyohitajiwa kwa wanafunzi kama zinavyoonyesha kwenye heri katika Mathayo 5,6, ana 7, lakini alikuw ana nguvu ya Mungu kutenda miujiza na katika hii, anaonyesha kwa watu wote ya kuwa alikuwa kweli ni mwana wa Mungu. Miujiza hiii ilifanya umaarufu wa Yesu kuenea katika nchi yote ya Israeli na ilikuwa msaada mkuu katika mafunzo yake kwa watu kuhusu ufalme wa Mungu. Lakini hiii ilikabiliwa na lawama kubwa kutoka kwa watawala wa Kiyahudi.  Marko 1:21-45; 2:1-12; Luka 4:31-44; 5:12 -14

Uponya kule Kaperinaumu Marko 1:21-28; Luka 4:33-37

Hakuwa amekaa katika Kaperinaumu wakati mamlaka yake ilipopata mtihani kwani mafundisho yake katika Sigogi yaliingiliwa kati ghafla na mtu aliyepiga kelele akiwa mwenye kuchanganyikiwa akili. “tuache, tuna nini na wewe, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza” ninakufahamu wewe ni nani, mtakatifu wa Mungu”(Luka 4:34). Tamko la kushangaza jinsi gani, tena kutoka kwa mtu wa aina ile.

Yalikuwa ni mapokea ya baadhi ya Wayahudi ya kwamba masihi aliyeahidiwa atakapokuja angaliangamiza galilaya. Huyu mtu mgonjwa akili alisikia maneno ya neema ambayo Yesu aliyasema na uvumi wa kwamba yeye hasa hasa alikuwa ndiye muahidiwa. Akachanganya mawazo hayo mawili na kuogopa (kuhofia) maangamizo.

Yesu hakupokea (hakukubali) tamko hili kuhusu yeye kuwa niliye “mtakatifu wa Mungu” kutoka kwa mtu wa aina ile. Imani aina hiyo ingalitamkwa na wenye mamalaka na wasikilizaji wenye akili tumaini wahudhuriaji wenye shauku walingojea jibu la Yesu na wakashangaa wakati kwa neno moja tu alimuyamazisha kelel za yule kichaa. Baada ya kujipigapiga kwa nguvu akatoa kilio cha huzuni na vita yake ikaisha. Yule mtu akalala mbele yao, akiwa akatika akili salama. Nguvu ya Kristo ikiwa imeshinda juu ya ubongo mgonjwa ulioteseka, “mara ile ile jamaa zake wakaeneza habari ile katika jimbo lote na nje kuzunguka Galilaya yote”

Uponyaji wa mama yake Petro mkwe (Luka 38-39; Marko 1:29-31)

Yesu akatoka kwenye SInagogi pamoja na wanafunzi na kushuka hadi nymbani kwa Petro na Andrea nduguye kule bethisaidia mara kwa mara pakawa ndipo mahali alipokaa yesu katika matembezi yake mengi huko Kaperinaumu. Katika tukio hili alimkuta mam mkwe wa Petro akiwa hawezi kw ahoma kali.

Waliomzunguka kwa kuona miujiza ya uponyaji aliyoifanya kati ya mikusanyiko barabarani waliomba asaidie. Bwana alienda mara moja moja pembeni mwa kitanda chake na akimshika mkono wake akamwinua mgonjwa akainuka na kuanza kutayarisha mlo wa furaha kwa ajili yao.

Miujiza zaidi yafanyika katika Galilaya (Marko 1:32-45; Luka 4:40-44)

Habri ya uponyaji wa mwenye pepo katika Sinagogi zilienea kw aharaka tokea nyumba hadi nyumba. Katika maakzi mengi huko kaperinaumu kulikuwa na mateso na sikitiko (huzuni) hivyo wakati sabato ilikaribia kwao wakibeba au kuongoza wagonjwa. Vikundi vidogo viliibuka kutoka nyumbani kwao wakibeba au kuongoza wagonjwa wao na kukusanyika nje ya nyumba ya Petro mpaka ilipowezekana kuikaribia ile nyumba. Wakati Kristo akitembea mlundikano (mkusanyiko) huu wa watu wanaoteseka, akwaona mbele yake miili na akili zenye kuteseka.

Kristo aliweka mikono yake juu ya kila mmoja wao nao wakapona kiajabu. Haya yote yakaweka mkzo mkuu juu yake na ilikuwa jioni wakti hatimaye aliondoka apumzike. Baada ya saa chache za usingizi Yesu aliamka muda mrefu kabala ya alfajiri na kwenda eneo la faragha na burudani yakiroho ambayo ilipatikana kw asala kwa baba yake.

Tabia ya kiroho ya kudumisha mawasiliano ya kimya kimya na Baba yake ni moja ambayo wanafunzi wote wanapaswa kuiendeelza maishani mwao. Kwnai ikiwa Kristo aliona ni lazima, je jinsi gani zaidi ni hivyo kwa ajili ya wafuasi wake kuimarisha imani yao kupitia nguvu ya sala.

Nje kulikuweko na ushahidi ya kwamba shughuli za usiku uliopita zilikuwa zinaend akurudiwa tena. Alfajiri watu walianza kukusanyika kuzunguja nyumba ta Petro kungoja kujitokeza kwa mponyaji mkuu. Wanafunzi hawakuweza kumpatia Yesu na hivyo wakaanza kumtafuta, wakiongozwa na Petro. Wakamkuta, mahali pa furaha, akisali. Kwa lugha inayokaribia kujilaumu wakamwambia “watu wote wanakutafuta” lakini muda ilikuwa umewadia katika mpango wa Bwana kuendea mbele. “Inanipasa kuhubiri ufalme wa Mungu katika miji mingine pia kwani ni kwa hayo nilitumwa” uamuzi huu ulionekana kuwa wa ghafla kuondoka Kaperinaumu yawezekana ulikuwa matokeo ya sala yake. Kusudi kubwa la Masihi wa Israeli halikuwa la kuw amtendaji wa maajabu ambalo lingewaridhisha mahitaji ya hapo kw ahapo ya watu, bali kuifunua kweli ya ufalme wa Baba yake na kuwapatia watu tumaini la wokovu wa milele.

Akiwa amejipumzisha kwa uhusiano wa karibu na babaye wa mbinguni yesu aliwaongoza wanafunzo wake kwenda katika safari ya mahubiri ya ufanisi ya Galilaya, akifundisha na kuponya wote waliomjia. Lakini Kristo hakusisimukia ari ya makundi ni kama wanafunzi wake wanavyoelekea kuwa (Marko 1:37) kwani “alifhamu ni nini kilikuwemo ndani ya mtu” watu walimtafuta kwa shauku kwa sababu ya mguso wake lakini nguvu na umuhimu wa ujumbe wake mara nyingi haukusikilizwa.

Uponyaji wa mkoma wa kwanza(Marko 1:20-45; Mathayo 8:2-4; Luka 5:12-14)

Ulikuwa katika safarai hii ya mahubiri katika Galilaya ambapo tunapata kumbukumbu ya kwamba ya kwanza ya mkoma akija kw aYesu. Imani iliyokuwa nayo kwa Yesu inaonekana katika ujasiri wake kumsogelea. Alikuja “akibembeleza” akipiga magoti na kumwambia “ukitaka waweza kunitakasa”. Alikuwa na imani juu ya nguvu za Yesu kumponya lakini je, Yesu angalitaka kufanya hivyo? Angaliwadharau wakoma? Kama watu wengine? Marko anatueleza sisi ya kwamba “Yesu aliguswa na huruma na kuonyosha mkono waka na kumgusa yeye na kuseama nataka takasika”, hakuwa na kusita sita ndani ya Yesu, kwani “mara moja ukoma ulimacha naye akafanyika msafi”

Kristo akamwambia “usisema lolote kw amtu yoyote” kwani alitaka ya kwamba yule mtu aliyemponywa aende kimya kimya nyumbani, akitafakari juu ya kutakaswa kwake na kumsifu na kumwabudu Baba yake wa mbinguni. Walakini, Marko 1:4 anatuonyesha kushindwa kwake kumsikiliza ushauri wa Bwana na kutokana na utangazaji kuhusu tukio hili, Kristo alilazimika kurudi Kaperinaumu.

Uponyaji kutoka paa la nyumba (marko 2:1-12,Mathayo 9:8-9)

Akiwa amesharudi kaperinaumu, habari ikaenea ya kwamba yuko “nyumbani” Haraka sana nyumba ya Petro ikajaa na watu walijazazna mlangoni hadi hakukuwa nafsi ya kuingia (au kusikiliza) wakati Yesu akiwahutubia mkutano , marafiki wanne wa masikini mmoja aliyesumbuliwa na gongwa la kutisha la kupoza, wakaja wamembeba kwenye machela, wakimleta kwa Yesu kuponywa. Walipoisogelea nyumba wakaona mara moja jinsi kazi yao ilivyokuwa ngumu. Lakini haja kubwa haihitaji kuchelewesahwa na imani kuu hushinda kila gumu. Nyumba nyingi huko Palestina zilikuwa na mapaa bapa ambayo yalisogeleana kutoka nje kwa ngazi za mawe. Wakimbeba yule mtu kw anje kupitia ngazi ya nje wakafunua sehemu ya paa iliyowezesha kumshusha mgonjwa ndani ya nyumba iliyojaa watu mpaka akalala miguuni pa Bwana.

Yesu “alipoona imani yao” imani ya rafiki wanne wa yule mgonjwa aliguka na kutazama machoni mwa mgonjwa na kwa uhakikisho wa faraja akasema yote amabye kwa hakika yalilazimu.  “mwanangu, dhambi zako zimesamehewa” hakuna shaka mananeo ya mwanika Zaburi yangetosha baraka yake, “Heri yule amabye dhambi zake zimesamehewa, ambaye dhambi yake imefunikwa “(Zaburi 32:1-2)

Wakati Waandishi na Mafarishayo waliposikia maneno ya Kristo waaksema mioyoni mwao, ni nani awezaye kusamehe shambi ispokuwa Mungu; anakufuru. Yesu mara hiyo akasoma mawazo yao na kusema “kusema nini mnawaza kwa njia hiyo mioyoni mwenu?” hakuwakuw ana kosa kudadisi (kujiuliza iwapo mtu alikuwa na mamlaka ya kimungu ya kusamehe dhambi, lakini walikuw ana kosa kukataa kuamini ushahidi uliotolewa mbele ya macho yao.

Nani angaliweza kutibu ugonjwa wa kupooza kwa neno tu isipokuwa Mungu. Na kwa Mungu alimpa Yesu nguvu hapa ulimwenguni kutibu (kuponya) kupooza na kufanya kazi nyingine nyingine ambazo hakuna mtu mwingine angaliyeweza kuyatenda, kwa nini asimpatie nguvu kusamehe dhambi pia? Bwana akamgeukia mtu yule aliyekuwa amepooza na kusema “amka chukua kitanda chako na enenda zako hadi nyumbani kwako” pale pale yule mtu akaamka na kutembea katikati ya watu walioshikwa na butwaa aakrejea nyumabni na akili yenye amani (iliyotulia) na akiwa mzima mwilini. Wote waslioshuhudia tukio hilo walishangaa mno na kumtukuza Mungu (mathayo 9:8), Mafarisayo wakanyamaza tu.

Somo kwetu

Yesu alihuuzunika mateso yaw engine, mguzo wake na kazi zake zilileta utulivu (amani) akilini na afya kwa waathirika. Twaweza kuhakikishiwa juu ya jinsi alivyo na shauku kwetu na anavyohusika na mahitaji yetu ya kiroho. Uponyaji ulithibitisha kweli iliyomo nmndani ya mafundisho ya Yesu. Ulikuwa ushuhud akwa mamalaka yake kufundisha, kuponya na kusamehe dhambi. Kw awalio wengi, ithabati (uthibitisho) huu uliongoza wamwamnini kw awengine waliwaongopa kwenye wivu na kutoamini. Sisi budi tuwe kati aya aina ya wale waliomtukuza Mungu kwa ushahidi huu usioshaka, ushhidi upo katika neno la Mungu kw aajili yetu kukubali kwa furaha na kukuza imani iliyo sawasawa na ile ya wale walioponywa. Tumaweza kupokea shukrani ubatiszo, kama njia tuliyopewa amabyo kwayo dhambi zetu zinaweza pia kusamehewa.

Maktaba ya rejea

“Nazarethi Revisted” (R>Roberts) chapter 16

“Life of Jesus” (m.Purkis) pages 101-113

“The Gospel of the son of God” (L.G.Saegent) pages 25-36

Maswali ya paragrafu

  1. Ni kwa jinsi gani Kristo alipata nguvu yake iliyomwezesha kusema kwa mamalaka na kutenda miujiza?
  2. Ni badiliko gani lilijokeza katika shughuli za Yesu siku bada ya kuponya watu wengi waliojaza kuzunguka nyumba ya Petro huko Kaperinaumu?
  3. Kutokana na uponyaji kutokea paa la nyumba a=onyesha namna Kristo alivyokuwa na mamlaka kusamehe shambi (makosa)

Maswali ya insha

  1. Eleza habari ya uponyaji wa mtu mwenye pepo katika Sinagogi hapo Kaperinaumu.
  2. Kwa kifupi eleza uponyaj wa mtu aliyepooza aliyeteremshwa kupitia paa la nyumba na ni nini wewe binafsi unjifunza kutokana na habari hii.

 

Swahili Title
209. UPONYAJI KULE KUPERINAUMA
English files
African text
CSSA
Translator 1
Emmanuel Mutai
Literature type
Sub type
Sub sub type