211. MFANO WA MPANZI
“Naye alisema vitu vingi kwao kw amifano akisema tazama mpanzi alikwenda kupanda mbegu……”
Mfano ni habri yenye maana iliyofichika. Ilikuw amojawapo ya njia nyingi Yesu alifundisha watu kweli ya Mungu waliambiwa ili kwmaba watu watu waliotaka kuelewa jukumu lake na mafundisho wangalikumbuka habri hiyo na kutafakari maana ya vitu alivyoviasema (Ona Marko 4:10-13; Mathayo 13:10-11)
Mfano wa mpanzi unaelez akuzaliwa kiroho na kuendelea kwa mtu binafsi kujiandaa kwa ajii ya ufalme wa Mungu. Mfano ya mbegu ya “haradani” na “chachu” inaonyesha jinsi mbegu binafis (moja) inavyoklua mapaka mavuno
Mathayo 13:1-52; Marko 4:1-20
Msingi wa mfano wa mpanzi
Katiika Mathayo 12 imeandkiwa upinzani wa Waandishi na Mafarisayo kwa Yesu na jukumumlake,. Wanfunzi walikuwa wameshasikia jinsi hawa viongozi w ataifa walivyokataa mafundisho yake na kulaumu juhudi zake. Yesu hapo akahitaji kuonyesha kwa wanafunzi wake ya kwamba mahubiri ya injili hayangekubalika kila wakati hili alilifanya kw amuundo w akufuata mifano ya ufalme.
Makundi yaliyo kusanyika kuzunguka owani (kingo) za Galilaya bila shaka yaligawanyika katika madaraja mawili wale walikuwa wakikubaliana nayo na wale waliokuwa adui zake. Mfano yake iliyoathiri kitofauti haya mawili, wale waliotamani kufundishwa juu ya ufalme wa mbinguni, waliipokea kwa fikira na kama hawakuweza kuelewa walimtafuata na ombi “tufafanulie mfano huu’ walipoona basi kweli ya kiMungu ikielezwa kwa mfano wa Yesu, walizidi kuimarika ki-Mungu juu ya mafunzo yake.
Lakini katika mioyo ya adui zake, kulijificha uchu wa kumtuhumu Bwanakwa kupindua maneno yake. Waliona n aklusikia lakini kushindwa kwao kuelewa kulikuwa ni matokeo ya upofu wa makusudi na ugumu wa moyo.
Mfano wa mpanzi (Mathayo 13:3-8; Marko 4:1-8
Katika Israeli mkulima akipanda mbegu yake akiwa na mfuko wa mbegu begani mwake, alitembea juu na chini shambani mwaki akitawanya mbegu kadiri alivyokwenda. Pale mbegu ilipoangukia ilibaki, na hatima yake ilitegemea aiana ya udongo ambapo iliangukia.
Nyingine iliangukia kwenye ardhi ugumu karibu na njia ambayo iliokotwa na ndege, mbegu iliyoangukia kwenye sehemu za mawe ambako hakukuwa na udongo mwingi iliota haraka lakini upesi ilikufa wakati wa jua kali lilipopiga juu ya ule mmea laini. Mbegu iliyoanguka kati ya miiba, alikuwa na tumaini dogo la kukua, kwani haraka ilisongwa na miiba miguu zaidi na manyasi ambayo yaliisonga, lakini mbegu iliyoangukia kwenye udongo mzuri uliotayarishwa zilichupuka na kuwa mimea yenye kuzaa.
Yesu anaeelza mfano (Marko 4:14-20; Lakini 8:11-15; mathayo 13:18-23)
Mpanzi ni Bwana Yesu mwenywe (Mathayo 13:17). Tunaposoma anafundisha yake katika maandiko ya kwlei, tunasikiliza maneno yake ya kutuita sisi kumtii.
Mbegu aliyopanda ni neno lake Mungu au kama Yesu alivyosema. “Neno la ufalme”(Mathayo 13:19). Ama nne za udongo ambao huangukia ni aina tatu za watu wanaopokea kwa nia tofauti neno linalopandwa.
- Njai au ardhi ngumu Mathayo 13:19; Waebrania 3:3
Akili za watu wengine inafanyika “ugumu kwa udanganyifu wa dhambi”wako makini sana katika vitu vya dunia. Angalao wansikia hawalidumishi neno la ufalme mioyoni na akilini mwao. Hakuna hisia inayowaka kwa nenno ndani ya watu hawa, hutoweka kutoka maishani mwao kabisa vile mbegu kwenye njia inavyoliwa na ndege.
- Mahala penye mawe (miamba) Mathayo 13:20-21
Pale mbegu ilipoangukia kwenye udongo (mwepesi) mbegu iliota upesi lakini ikafa upesi vile vile kwa ukosefu wa unyevu, ni watu wangapi ni wepesi jinsi hii? Wengine hupokea neno la ufalme kw ahamu, baada ya kusukumwa na shauku au hisiamoyo. Inakua haraka ndani ya hawa jamaa, lakini hawana msing na utashi (msukumo) a ndani ambamo neno linaweza kudumu. Wakati wa mateso na mtihani wanadhoofika au kuchukizwa na kuikataa kweli, inatupasa kufahamu ya kwamba ni kwa “kupitia dhiki mateso mengi ndiyo tunaingia katika ufalme wa Mungu” (Matendo ya Mitume 14:22)
- Miiba Mathayo 13:22
Hapa tumewabainsiha wale wanaofahamu neno la kweli na kuguswa nalo, lakini ambao huliruhusu kusongwa na mambo na mashinikizo ya maisha haya. Akili zao zimejazwa shughuli za dunia, wanajaribu kupata mema ya dunia mbili, lakini mwanadamu hawezi kumtumikia Mungu na ulimwengu kwani bila shaka atampenda mmoja na kumchukkia yule mwingine (mathayo 6:24). J=ni jambo la muhimu kukumbuka ya kwamba ni lazima “tuzitafute kwanza ufalme wa MUngu” na vitu vingine vya maisha haya lazima yafanyike mahali sahihi yanapowezekana. Wanfunzi lazima wayachukuwe maneno ya Yohana katiak 1Yohana 2:5 kwa ajili yao wenywe. “Usiipende duni upendo kwa baba haumo ndani yake”
- Udongo mzuri Mathayo
Hapa tumegusia wale ambao wamesikia neno la Mungu wamelielewa na kulipokea katika miyo iliyo miaminifu na mizuri ilipoupokea neno inalitunza. Kwa sababu wanaruhusu neno kuunda tabia zao na maisha yao wanazaa matunda ya Roho (Wagalatia 5:22-23) kw aheshima na sifa ya Mungu (Wafilipi 1:9-11)
Punje ya Haradani Mathayo 13:23
Katika mfanop huu tunaonyeshwa ya kwamba mwanzo mdogo vitu vikubwa vyaweza kutokea. Punje ya Haradni ni ndogo sana lakini inaweza kuzaa mti usio na uwioano wowote na umbile lake. Unaweza kukua hadi urefu wa mita 3 pamoja na matawi yanayoja matunda, ndege huenda kwa makundi kwa ajili ya chakula
Mbegu ya Haradani kwa sababu ya “udogo” wake au mwanzo wanye kudharauliwa ni punje ndogo sana na utukufu wake wa mwisho ukiwa mti unaositawi huonyesha kwa usahihi wito wa injili. Kadiri watu wangalivyoamua kuhubiri injili kungeonekakna kuwa kushinswa. Lakini watu w dunia hawajui kuwa kutokana na mianzo midogo ya mahubiri ya injili ya wakati huu, yataleta kitu kikuuu. Matokeo ya hatima ya akzi hii yatakuwa ndiyo usimamishaji wa makundi ya watu ambao wameleimishwa kwa neno la Mungu, yaliyokuwa yameundwa na kufanya upya na neno lililomo mdani hadi mwishowe wakawa na ubaora kwa utawala katika ufalme wa Mungu. Wakati ufalme utakkapoanzishwa matokea makuu ya kukua kwa “punje ya Haradani” yatashuhudiw akatika kuvaa kutokufa kwa wale ambao wametenda kazi kwa uaminifu katika maisha haya. Nao kwa zamu yao watagawa kw amataifa ya dunia mbegu ya wokobvu.
Ni midogo kwa hakiaka mianzo hii Yesu aliishi akiwa mtu asiye na fedha na seremala duni, “Alidharauliwa na kukataliwa na watu”(Isaya 53:3) na kufa kifo cha mtenda dhambi walakini atarudi na kuchukuwa utawala juu ya falme zote za dunia, kama anavyowekewa mfano wa jiwe dogo lililovunja vunja sanama ya Nebukadneza (Daniel 2) mitume nao waliyswa kw adhiki nyingi, wengine hata kifo cha ukatili, na kwa hiyo kufundisha kw mfano (kielelzo) wao ya kwamba wafuasi vile vile inawapasa “kujikana wenywe na kuchukua msalana……..” mathayo 16;34
Katika maandiko yote tunasoma ya kwmaba Mungu anawachunguza watu kwa ajili ya jin alake, lakini ya kwamba wanaume na wanawake wanaoitwa siyo wale wenye nguvu, au matajiri au wenye hekima (1 Wakorintho 1:26-31; Wafilipi 2:5-11). Jinsi gani itaushangaza ulimwengu wakati watu hawa dhahili (duni) watatokea katika utukufu kama watawala wake na walimu (Mathayo 19:27-20)
Chachu (Mathayo 13:33)
Chachu iliyotumiw akatika siku za Kristo ilikuwa kipande cha mkate iliochwa (uliosazwa( kutokana na siku ya mwisho ya kuoka mikate na kuachwa ichachuke. Ilikuwa ni njia ya kuufanya mkate mpya kuumka, mkazo wa habari hii inasimama (inakaa) juu ya tendo la chachu. Nguvu yake kubwa ilikuwa kupenyeza na uwezo wake ulijikita katika kuathiri rundo kuu zaidi yake. Vipimo vitatu vya mlo vilikuwa ndicho kipimo kilichotakiwa (kilichotumika katika uoakaji) Mwanzo 18:6. katika kipande hiki kidogo mno kilinganishwa na donge lililobakia lakini athari yake ilisambaa katika doonge lote.
Wakati Kristo atakaporudi, injiili n aufalme vile vile utaeneaduniani pote, tunajifunza jinsi hili litakavyotokea kwa kusoma ndoto iliyotolewa kwa Nebkadneza, ambamo mfalme aliota ya kwamba jiwe dogo lililochukuliwa kutoka mlimani bila mkono “litavunja mmoja wenywe milele” ndipo “ulimwengu wote utajazwa na utukufu wa Bwana kama maji yanavyojaza bahari”(Hesabu 14:21) na watu wote watambua nguvu za Mungu. Hekima ya Mungu na kutembea katika njia zake (Isaya 3:2-4)
Maktaba ya rejea
“Parables of the Messiah” (J.Garter) pages 89-105; 190-194
“Nazarethi Revisited”(R,Roberts) pages 216 -255
“Story of the Bible” (H.P.Mansfield) vol 9. pages 58-74
“Life of Jesus” (M.Purkis) pages 16-169)
Maswali ya fungu
- Kwa nini Bwana Yesu kristo alisema kwa mifano?
- katika mambo wa fungu sola la
- Mfano wa “Mpanzi”
- Mfano wa “punje ya Haradani” na “chachu”
Mwasali ya insha
- katika mfano wa mpanzi, ni zipi zilikuwa aina nne za udongo zikiwakilisha aina nne za watu, ambao juu yao mbegu zilianguka? Ni kwa jinsi gani aina hizo tofauti za watu zilipokea?
- Ni lipi somo kuu Kristo ametuonyesha sisi kutokana na mifano ya punje ya Haradani na chachu.