Special services

Swahili

1. Mkuthnozoa Kanisa Lote (Kilabaada ya miezi sita)

Mpangilio

  • Minutes ziwekwe kwa ukumbusho wa yale yameja diliwa

  • Lazima asilinia 50% ya kanisa iwe imehudhuria

  • Kopi ya minutes ipelekewe muwakilishi wa CBM ng´ambo

  • Kila ripoti isomwe

  • Iongewe

  • Irekebishwe ikiwezekana

  • Ikubaliwe na watu wote asilimia mia moja

  • Kila mtu aliye mkutanoni atie saluhi

  • Wimbo

  • Maombi}Mwenyekiti wa kanisa

  • Kura ipigwe kuchagua atakayesimamia mkutano

Ripots

  • Minutes za mikutano ya kamati

  • Ripoti ya mtunzaji wa vitabu

  • Ripoti ya mahubiri

  • Ripoti juu ya pesa

 

  • Mambo mengine (AOB)

  • Wimbo

  • Kufunga kwa maombi

2. Ubatizo Na Mahojiano

  • Ubatizo na mohojiano ni lazima yafanywe na ndugu kutoka uingereza pekee.

  • Ubatizo unaweza kufanywa na ndugu mtazania endapo atakuwa amepewa uwezo na ndugu linkiman.

  • Mahojiano ya ubatizo hayarusiwi kufanywa na ndugu Mtanzania.

  • Mohojiano hajatafanyika upaka mtu awe amekamilisha yale masomo arubaini ya mawasiliano.

  • Wewe si ndugu wala dada mpaka uwe umebatizwa.

3.Mazishi

  • Toa mwili kutoka mahali pa kupumzikia mpaka mahali ibada ya mazishi itakapofanyika.

  • Weka sanduku la maiti hapo mbele ya watu.

  • Jamii ya mtu aliyeku fa ikac mbele.

  • Ndugu aliyebatizwa aungoe ibada.

  • Wimbo unaofaa.

  • Maumbi.

  • Somo.

  • Ndugu aliyebatizwa atoe mawaidha akizingatia juu ya kifo na ufufuo.

  • Wimbo.

  • Maombi.

  • Chukua mwili mpaka mahali pa kuzikia.

  • Wimbo kando ya kaburi.

  • Maombi.

  • Somo kidogo.

  • Mazungumzo juu ya somo.

  • Teremsha mwili kabuiini.

  • Jazo mchanga.

  • Kila mtu aombe maombi ya pole pole.

 

English files
Literature type