Utangulizi na Mbele

Swahili
Utangulizi na Mbele

Utangulizi na Mbele

Ibilisi na shetani ni mojawapo ya mada zinazozungumzwa Zaidi kuhusu Biblia katika Afrika ya leo na bado ni mada mojawapo zisizoeleweka. Kusini mwa dunia ( ulimwengu wa tatu) , kutoelewana  huku kumechochewa na tafsiri mbovu  ya Kiswahili inayotokana na makosa na kutoelewana kulikofanywa kwenye tafsiri ya kiingereza ya karne ya 17 pamoja na ukoloni.

Laiti watafsiri wangerudi kwenye maandishi ya asili ya kiebrania na kigiriki badala ya kutumia kiingereza kama mwongozo, basi makosa mengi ya kimafundisho yasingetokea Afrika. Badala yake leo wengi wanaamini uwongo uliobebwa katika hadithi za wamisri wa kirumi na wagiriki pamoja na Imani za kipagani za kibinadamu na ushirikina wa makabila.

Wakati wa ukoloni, kwa kutumia nguvu ya mfumo wa elimu, hekaya zisizo za kiafrika zilitumika kama nyenzo ya kutia woga kwa wenyeji. Hii ilifanywa kwa njia iliyopangwa ili kugawanya na kushinda watu  wa kiasili. Biblia ilitumika kama propaganda. Mara nyingi muendelezaji wa hii angetumia tena kwa maksudi na kuendesha mifumo iliyopo ya Imani ya zamani  bila kujiamini kwa madhumuni ya ubinafsi na hata ya kujifurahisha.wamishenari wa mothodisti na Wesley walielimishwa juu ya maandiko gani ya kuepuka na maandiko gani ya kusisitiza  ili kuwatiisha watumwa na kutuliza ghadhabu ya wamiliki wa watumwa. (tazama white Debt, T Harding)

Mambo yamefanywa kuwa ya shida Zaidi na ukosefu wa ufahamu na ujuzi wa mifumo ya kale ya Imani ya mataifa ya kusini ilikua katika hali nyingi inaendelea kuwa na wamisionari wanaotoka kaskazini mwa ulimwengu ( ulaya Amerika na baadaye Australia). Ujuzi huu umefichwa sana kwa mamia hya miaka, si haba kwa bidii ya kidini ya “uwindaji wa wachawi” na kadhalika. Katika zama hizi (na hata leo) uchawi umefichwa huku vitabu vilivyoandikwa juu ya mada kama hizo vikiteketezwa.

Wala dini ya kiafrika si kitu kinachojaribiwa kufundishwa na waelimishaji wa kidini. Angalau kwa sehemu kwasababu mambo haya hadi nyakati za hivi majuzi hayakujulikana au kufichwa ( uchawi) kutoka kaskazini mwa ulimwengu. Lakini pia kutokana na kukosa hamu ya kuchunguza kwa sababu ya  dosari inahusishwa na malengo kama hayo. Tishio la kutengwa kwa ajili ya kusoma uchawi  kwa mamia ya miaka limewakabili waelimishaji wanaojaribu kuelewa Imani za ulimwengu wa kusini na dini zao za kitamaduni.

Frank D. Macchia, profesa wa Theolojia ya kikristo chuo kikuuu cha Vanguard Mrekani anasema “Imani iliyoenea kwamba tunaishi katika ulimwengu wa nguvu ya kiroho na za kimwili, ni muhimu sana kutupiliwa mbali au kupuuzwa na wasomi “(macchia 2022)mwazo ya akili za kati ( hizi ni mila za uchawi zilizorekebishwa) na ulimwengu. Fahamu sasa unabadilishwa ulimwenguni pote kuwa sayansi kuu na mazoea ya kidini.

Uchawi wenye “k” hurejelea mazoea ya kuorodhesha uchawi bila “k” inarejelea hila kidogo za kuunganisha mkono (tazama chini ya uchawi”

 

 

 

Swahili Title
Utangulizi na Mbele
Translator 1
Emanuel
Literature type