CSSA 2-4-10 - HEALING AT BETHESDA ON THE SABBATH

Swahili

210. Uponyaji pale Bethisaida siku ya sabato

            “Baba yangu afanya akzi nani natenda”

Kutokana na kazi yake ya kihubiri na kuponya huko mkoani Galilaya Yesu aanrusi Yerusalemu na huko anafanya miujiza mkubwa penye kisima (bwawa) la Bethisaida. Habari ya miujiza huu inapatikana katika injili ya Yohana na wa tatu katika miujiza 8 (ishara) ambazo Yohana anaziandika. Ishara zote nane zina dokezo moja kuu yaani kuonyesha ya kwamba Yesu alikuw amwana wa Mungum, na kw ahuyo kwa kuamini, tuweze kuwa na uzima kw ajina lake (Yohana 20:31).

Yohana 5

Sikukuu kule Yerusalemu (Yohana 5:1)

Mwanzoni mwa huduma yake hadharani Yesu alipanda kwenda Yerusalemu na miaka 3 baadaye wakati wa pasaka alisulubiwa na mchanganyiko wa juhudi ya Warumi na Wayahudi wote walikuwa wameshinswa kutambua ndani yake “mwan apekee wa MUngu” yeye pekee aliweza kulata upnyaji, nguvu, na pumziko kwako. Pasaka ilikuwa kukumbuka juu ya ukombozi wa Mungu juu ya watu wake kutoka utumwani, huu ndiyo uliokuwa uhitaji ao na miujiza huu ulikuwa kuwafunza tenaju kwlei hii.

Bwawa la maji lenye matao 5 Bethzatha (Yohana 5:2)

Jina Bethzatha lina maana nyumba ya neema. Yohana anatueleza lilikuwa karibu na lango (soko) la kondoo ambalo lilikuwa karibu na kaskazini mwa hekalu na kupitia ambako wanyama wa kutumika katika kafara hekaluni waliletwa kwenye bwawa hili makundi ya jamaa wagonjwa walikusanyika kungojea kwa shauku ili wawe wa kwnza kujitokeza baada ya maji kuchemka (yayumbishwe)

Kabla ya kushughulika na miujiza ni lazima kutoa tamko kuhusu tatizo (ugumu) akatia aya 4. Yohana anaeleza kuwepo kwa kundi kubwa la jamaa wagonjwa hapo bwawani, walioamini katika mila ya bwawa malaika maalumu waliwekwa katika visima na mito mahususi. Lakini neno la Munguhalifungaman9i naa imani potofu. Aya ingeandkwa “maana ilisemwa kuwa malaika aliingia” (Mathayo 4 comp Bibli)”Kucharushwa” maji kungaliletwa na kitendo cha kisima, kilichotiririsha maji bwawani na ambacho pengine kilikuwa na uwezo wa tiba. Walakini yale makundi makubwa ya wasiojiweza wakingojea kwa tumaini (lakini mara nyingi kw aubatili) kwa ajili ya uponyaji wa ugonjwa wao, walikuwa wawakilishi wa wanadamu wote, am,bao mara nyingi wanaamini ubatili au imani za kimila badala ya kumtafuta yule mmoja ambaye aanaweza kuwaongoza kwenye maji ya kweli ya uzima.

Uponyaji kiwete (Yohana 5:5-9)

Uponyaji w akiwete, kama inavyoandikw ana Yohana unaviashiria marufu kadha wa kadha kuuhusu ya kwamba tunafanya kuona miujiza huo kama ishara kama kufundisha masomo ya kiroho kwa Israeli wakati ule na kwetu leo. Hebbu tuone ishara hizi katika habari hii inayojulikana sana

Yesu akaja na kumtafuta “mtu Fulani” katika lile kusanyiko la watu wagonjwa na vilema, angalia ya kwamba Yesu alimsogelea kinyume na nyakati nyingine, wakati wagonjwa walipokuwa wakimtafuta Yesu maelezo mafupi yaliandikwa na Yohana (mst 5) yanatupatia kidopkezo ya kuwa mtu huyu “alikuwa na udhaifu miaka 38”. Hivyo alikuwa kielelzo (mfano) wa taifa lote la Israeli katika hali ya kwamba walikuwa, katika mwaka wa pili baada ya Israeli kutoka Misri wamechukumiwa kurandaranda kwa miaka 38 zaidi nyikani (jangwani) Hesabu 14:28-35, Kumbukumbu la Torati 2:14. kwa sababu gani?dhambi  kwa utovu wa imani  na nini kilikuwa chanzo cha hali ya yule kilema?”dhambi” (ona mst 14)

“Dhambi” hapa inabaini tendo la kukos alengo au kukengeuka kutoka njia sahihi. Hii ilikuw ahasa ndiyo sababu ya kushindwa kw aisraeli wakati wa Musa na pia katika siku z aYesu. Kazi yake Yesu ilikuwa kuwaonyesha Waisraeli njia sahihi njia ya kurudi kwneye afya ya kiroho na nguvu. Kama yule mtu kilema hawakujiweza wenyewe (mst7) lakini Yesu alikuja kwao na kuwapa mkono wa kuwaalika “wapate kuwa wazima” ilikufikia hilo, vitu vitatu vilihitajika kw ayule kilema

  1. Kutambua udhaifu wake yeye mwenyewe na kukosa nguvu,
  2. Kumtazama Yesu badala ya mapekeo (imani potofu) za watu
  3. Kulikubali nneo la Yesu, kuamini mari (agizo) lake na kutii

Kwa amri ya Yesu kwamba chulkuwa kitanda chako na tembea akafanyika “mzima” na kuchukuwa kitanda chake na kutembea. Shangwe yake na shukrani kw aMungu ilimwongoza hadi hekaluni (mst14). Mahali pale Yesu alihamashisha na kumpa onyo “ufsifanye dhambitena” yule mtu dhiafu alitambua ya kwamba baada ya kupokea neema ya Mungu wajibu mkuu sasa uliwekwa juu yake kuonyesha watu wote ya kuwa alikuwa akiitika wito wa neema ya Mungu. Kushindwa kuendelea katika njia ile kungalileta “kile kitu kibaya zaidi” ambacho Yesu alikisema. Hili limefunyuliwa katika Yohana 5:28-29 ufunuo kusimama mbele ya hakimu (mwamuzi) wa haki (mst 26-27) kutoa hesabu ya mwendo wake. Iwapo angekataliwa basi kutoswa nje kutakuw akurejea kaburini bila kufufka tena kamwe.

Njia ya hekima nay a uaminifu kwetu ni kuitikia hivyo witoi au mwaliko wa Yesu “utafanyika mzima”. Tunafanya hivyo leo kwa kuamini ujumbe wake na kubatizwa na kufanywa “wazima” kutembea kwa shangwe kwa kuitika wito ule. Maisha mapya yalianza kwa mtu yule dhaifu suala la maana likiwa ni utiifu wake kwa neno lake Yesu. Maisha yetu mapaya katika kwlei yanaanza kw autiifu kwa amri zake.

Lalamiko kuhusu siku ya sabato na kazi ya Yesu(Yohana 5:10-30)

Ni wazi kutoka aya ya 9 ya kwamba Yohana kwa makusudi anakazia ya kuwa ilikuw ani siku ya sabato Yesu alipomponya yule kiwete. Ni wazi pia ya kwamba Yesu alichagua kwa ufahamu kabisa siku ya sabato kufanya miujiza hii, kwani angeliweza kirahisi kungojea siko moja kwanza, mtu mwenywe alikuwa katika hali hii kw amaiaka 38. kwa nini basi Yesu alitend ahilo na kuleta lawama ya Wayahudi juu yake mwenyewe? Kwa sababu mbili.

  1. Kuonyesha ya kwamba msimamo wa Wayahudi kw aakzi yake kulikazia ulemavu (udhaifu wa kiroho) wa taifa na viongozi wake. Kusafiri kwa Israel kw amiaka 38 huko jangwani kulifananishw ahili (Waebrania 3:17-19). Walikataa kumsikia na kumwamini Musa katika siku zake na katika siku za Kristo, lakini yule kilema akiitikia maneno ya Yesu aliingia katika pumziko la mzigo wake wa udhaifu siku ya sabato.
  2. Kuonyesha sehemu ya Yesu na mamalaka akiwa mwana wa Mungu, am,abye sasa alikuwa aendeleze kazi ya Baba yake 9aya 17) na kuleta uhuru au pumziko kutokana na utumwa wa dhambi na kifo kwa wote wangaliokubali au kuiitika.

Katika nyakati zinazofanana na huu wakti Yesu aliponya siku ya sabato alifundisha kwamba yeye katika nafasi yake akiwa mwana wa Mungu aliuitiki “vitu vyote” na hiyo ilichanganga na sheria ya sabato( Marko 2:27-28; Zaburi 8:2-6) ufundishaji wake na miujiza ilionyesha ya kwamba alikuwa “Bwana wa sabato” amabye kwake “pumziko la ufalme litasitawishwa”.

Hatuna budi pia kuangalia mkazo wa Yesu katika ya ya 19 na 30 ya kuwa yeye peke yake asingeweza kufanya lolote. Ni pale tu katika kuingia katika kazi ya baba yake. Yesu aliweza kuleta tumaini la uzima wa milelekwa wale wanaomwamini “kusikia na kuamini” (mst 24-25)  kama kutatizwa kwa vitendo katika maisha ya wanaume na wanawake kuwanafanya wasi “viwete tena”(dhaifu na wagonjwa kiroho) ila hai na kw anguvu kufanya bidii “kutotenda “dhambi tena” wanaweza kutazama mbele kufikia siku wakati atakuwa kwa ajili yao ndiye “ufufo na uhai/ uzima nao watafufuka waliotenda mema katika ufufo wa uzima” (aya 28-29)

Somo kwa ajili yetu

Onyo kali aliwapa Israeli kw asababu walikata kusikia na linaweza kutuhusu sisi leo. Tunasisma akatika uwpo wake Mungu kama alivyofanya yule mtu alyetafutwa na Yesu penye bwawa la Bethesaida na ikifuatanba na tukio lake la kusikia maneno ya Yesu tutakuwa kama tule kiwete kama aidha.

  1. Katika kukata tama kw akuwa hakunawa kutuokoa kwa sababu lile tu tunalolijua na kulipokea maishani mwetu ni mila za watu na mtindo wa maisha ya dunia, nasi yote tuwezayo kutazama ni dhambi mateso na kifo.
  2. Tayari kusimama kw akuitikia mari yake, siyo kutokuamini tena, lakini tukishangilia katika ufahamu wa kwamba yeye aliye mwana wa Mungu ametuita katika neema ya baba yake. Twaweza kwa hapo kutembea mbele yake kwa tumaini la ufufuo kutoka kwa wafu ili kurithi uzima wa milele

Kushindwa kw aisraeli kutafsiri alama ya yule mtu kilema kwa usahihi kulimaanisha kwao kutengwa kutokana na pumziko lililoahidiwa kwa watu wa Mungu. Kukataa kwetu kusikia na kuelewa kutatutoa sisi vile vile kutokana na sabato ya milenia (miaka elfu). Hebu katika nguvu za ujana wetu tujihimize kuiitikia wito wa Yesu kuelekea uhai na tuje kw aunyenyekevu kwake ili “tufanyike wazima”

Maktaba ya rejea

“The eight sigus of John” (J.Ullman ) pages 31-34

“The gospel of John”(J,Garter) pages 73-80

“The story of the Bible” (H.P.Mansfield) vol 8 pages 178 -190

“Life of Jesus” (m.Purkis) pages 86-89

Maswali ya fungu

  1. Kumfnaya kiwete kuw amzima vitu vitatu vilihitajika kwake viliuw ani vipi?
  2. Ni kwa njia zipi kiwete aliashiria alikuw amfano w ataifa la Israeli?

Maswali ya insha

  1. Eleza habari ya miujiza kwenye bwa a Bethesda
  2. Uponyaji wa yule kiwete bwawani Bethesda alikuw ana somo
    1. Kwa ajili ya Israeli
    2. Kwa ajili yetu sisi. kwa ufupi ainisha masomo hayo

 

Swahili Title
210. Uponyaji pale Bethisaida siku ya sabato
English files
African text
CSSA
Literature type
Sub type
Sub sub type