Revelation Chapter One

UFUNUO.
MAELEZO YA MANENO YA MSTARI KWA MSTARI.

Yanatoka Biblia ya Kiingereza (A.V.), maana ndiyo pekee iliyotangulia kutafsiriwa kabla ya tafsiri ya Kiswahili. Basi, kwa Kuwa Biblia yetu ni U.V., tafsiri hii ya KITABU CHA UFUNUO kwa lugha ya Kiswahili inatoka pande zote mbili.

UFUNUO MLANGO WA KWANZA.
MSTARI WA KWANZA.

"Ufunuo wa Yesu Kristo".