Spirit 00 - Introduction and foreword
Roho
Utangulizi na dibaji
Fellowship - Lesson 04 - The basis of unity
USHIRIKA – KANISA NI NINI?
SOMO LA 4: MSINGI WA UMOJA
TAMKO LA B.A.S.F
ARUSI YA KANA - Mwujiza wa kwanza wa Yesu
ARUSI YA KANA
Mwujiza wa kwanza wa Yesu
Somo: Yohana 2:1-11
Ushirika - Somo la 03 - Jumuiya ya Wayahudi
Somo la 3: Jumuiya ya Wayahudi
Kuelekea mwishoni mwa somo letu la mwisho tuliweza kuona mfanano mkubwa kati ya sehemu ya kukutania ya Wayahudi- sinagogi- wakati wa Bwana wetu na ushirikiano wa siku hizi. Katika somo hili tunaongeza zaidi. Tutaangalia kuondoka kwa Israeli walivyo toka Misri jinsi ilivyo mfano wetu sisi wa kuuacha ulimwengu (dunia) na kwamba Pasaka ya Wayahudi ni Pasaka ile ile ambayo sisi tunaisherekea.
Ushirika - Somo 02
Ushirika– Kanisa ni nini?
Somo la 2: Ushirika
Ushirika ni nini?
Kulingana na ufafanuzi wa kamusi Ushirika ni kwenye kilimo,au shirika lolote ambalo linamilikiwa na kuendeshwa na wana kikundi au wanachama wa shirika ambao wanagawana faida au masilahi. Na mwishowe ,Ushirika huwa unahusu maridhiano ya kusaidiana kwa kufanya kazi pamoja; ili kutimiza lengo lao.
MISINGI YA BIBLIA 03 - AHADI ZA MUNGU
3.1 Ahadi za Mungu : Dibaji
Kwenye hatua hii ya masomo yetu tumefikia kufahamu upana wa Mungu ulivyo na jinsi anavyofanya kazi kwa kufanya hivyo tumepanga idadi ya makosa yahusuyo mambo haya. Sasa tunataka kuangalia kwa uhakika zaidi mambo ambayo Mungu “amewaahidi wampendao” (Yakobo 1:12; 2:5) kwa kushika amri zake (Yah. 14:15)
MISINGI YA BIBLIA 02 - ROHO YA MUNGU
2.1 Roho ya Mungu: Ufafanuzi