CSSA 1-2-18 - SAMUEL

43. SAMWELI

“Nena, BWANA, kwa kuwa mtumishi wako anasikia

Shabaha

Kuonyesha kwamba Mungu hufurahishwa na watoto waaminifu na watiifu, lakini atawaadhibu  wale wanaolidhalilisha Jina lake.

Muhtasari

CSSA 1-2-14 - DEBORAH AND BARAK

39. DEBORA NA BARAKA.

Kikainuka kizazi kingine nyuma yake ambacho hakikumjua BWANA.

Shabaha.

 Kuonyesha kwamba matatizo yaliyowapata wanawa Isaraeli nyakati za waamuzi siyo tofauti na matatizo yanayotupata leo.

Muhtasari.

 Ingawaje Waisraeli waliendelea kutokuwa waaminifu na watiifu, hata hivyo Mungu aliendelea kuwa  mwenye rehema na kuwasamehe. Walipokuwa katika taabu na wakamgeukia Yeye, aliwaokoa mikononi mwa adui zao.

Waamuzi 2,4 na 5

CSSA 1-2-13 - JOSHUA DIES

38. YOSHUA ANAFARIKI

"Lakini mimi na nyuma yangu tutamtumikia BWANA"

Shabaha

   Kuonyesha  jinsi Yoshua kwa uaminifu aliwahimiza watu wamtumikie Mungu,lakini baada ya kufariki kwake watu walisahau  kielelezo alichowachia na wakageukia kuziabudu sanamu.

 

Muhtasari

CSSA 1-2-12 - JOSHUA TURNS NORTHWARD

37. YOSHUA ANAELEKEA KASKAZINI.

"Nayo nchi ikatulia isiwe  na vita tena.

 

Shabaha

       Kuonyesha kwamba tunapaswa kuwa na bidii katika kutii amri ya Mungu kama tunatamani kuingia katika ufalme .

Muhtasari

     Kama vile Mungu alivyowaongoza salama Waisraeli walipokuwa na Musa jangwani,na vivyo hivyo Mungu sasa alivyokuwaakiwaongoza  kwenda Nchi ya Ahadi wakiwa na kiongozi wao Yoshua.

CSSA 1-2-11 - JOSHUA OVERCOMES THE CITIES OF THE SOUTH

36. YOSHUA ANASHINDA MIJI YA KUSINI

"BWANA akampigania Israeli".

Shabaha

Kuonyesha jinsi Yoshua alivyofanikiwa kushinda miji ya kusini pale alipomwomba Mungu amwongoze.

Muhtasari

Yeriko ulipotwaliwa na kuharibiwa ;watu wa Kanaani waliamini kuwa Yoshua na jeshi lote la Israeli watawavamia na kuwaharibu wao pia. Wafalme watano wa kusini waliamua kuungana pamoja kupigana na Israeli, isipokuwa Gibeoni walifanya shauri jema.

CSSA 1-2-09 - JERICHO

34. YERIKO

"Ukuta ukaanguka chini kabisa"

Shabaha:

Kuonyesha kwamba Israeli walikuwa na sababu za kuuteka Yeriko kwa sababu waliyaamini yale Mungu aliyosema na walitii amri zake.

 

Muhtasari:

Watu wa Kaanani walisikia jinsi Mungu wa Israeli alivyotengeneza njia kavu kwa ajili yao kuvuka mto Yordani na "mioyo yao ikayeyuka wala haikuwamo roho ya nguvu ndani yao tena, kwa sababu ya wana wa Israeli". (Yoshua 5).