CSSA 1-3-04 - THE GLORY OF SOLOMON

54. UTUKUFU WA SULEMANI:

“Sulemani aliwazidi wafalme wote duniani kwa utajiri na hekima”

 

Shabaha

Kunyesha jinsi umaarufu wa Sulemani ulivyoenea katika nchi zote za Mungu kusifika. Sulemani alipomwomba Mungu kwa ajili ya hekima ,Mungu alimwahidia siyo hekima pekee bali hata utajiri na heshima pia, “ hivi kwamba hakutakuwepo yoyote kati ya wafalme kama wewe, katika siku zako zote” (1Wafalme 3:13).

 

CSSA 1-2-21 - GOD CHOOSES DAVID

46. MUNGU AMCHAGUA DAUDI

Mungu amejitafutia mtu aupendezaye moyo wake

 

Lengo:kuonyesha kwamba huanglia moyo naye hahukumu kwa maumbile ya nje.

 

UFUPISHO

Sauli hakudhibitisha kuwa mfalme mwaminifu (mwenye imani). Hakuamini kwamba Mungu alimaanisha kila alilosema. Hivyo mungu akmchagua mtu mwingine kuwa mfalme badala yake-mtu aliye mpenda Mungu na kumtii.1Samweli 16:1-13.

 

MUNGU ACHAGUA MFALME AFAAYE.

CSSA 1-2-20 - GOD REJECTS SAUL

45. MUNGU AMKATAA SAULI:

“Kutii ni bora zaidi kuliko sadaka"

Shabaha

Kuonyesha kwamba Mungu anataka  wakati wote utii kwa amri zake.

Muhtasari

Sauli alikuwa mkulima mwenye aibu na asiyejulikana ambaye ghafla alijikuta amechaguliwa kuwa Mfalme wa kwanza kutawala watu katika Israeli (Samweli 13:8-14 na 15).

 

MFALME SAULI  ANACHUKUA WAJIBU WAKE