CSSA 1-3-24 - THE BIRTH OF JOHN THE BAPTIST
74. KUZALIWA KWA YOHANA MBATIZAJI
“Na wengi katika Waisraeli atawarejeza kwa BWANA Mungu wao”
Shabaha
74. KUZALIWA KWA YOHANA MBATIZAJI
“Na wengi katika Waisraeli atawarejeza kwa BWANA Mungu wao”
Shabaha
73. NEHEMIA ANAJENGA KUTA ZA YERUSALEMU
“Haya! na tuondoke tukajenge”
Shabaha
72. ESTA
“Naye huyo Esta alikuwa amepata kibali machoni pa wote waliomwona”
Shabaha
Kuonyesha jinsi Esta, msichana Myahudi, aliyepata kuwa malkia wa Uajemi,na kupitia imani yake aliwakomboa watu wake wasiangamie.
71. WAYAHUDI WANARUDI YERUSALEMU
“Kuijenga nyumba ya BWANA, Mungu wa Israeli iliyoko Yerusalem”
Shabaha
70. DANIELI KATIKA TUNDU LA SIMBA
“Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya”
Shabaha
Kuonyeosha jinsi Mungu alivyomponya Danieli asiliwe na simba-kwa sababu alimwamini Mungu.
69. NDANI YA TANURU LA MOTO
“Uendapo katika moto hutateketea”
Shabha
68. NDOTO YA NEBUKADREZA
“Hakika Mungu wenu ndiye Mungu wa miungu na Bwana wa wafalme, awezaye kufumbua siri''
Shabaha
Kuonyesha namna Mungu alivyombariki Danieli na rafiki zake katika Babeli na akawafunulia maana ya ndoto ya Nebukadreza.
67. UFALME UNAPINDULIWA
''Hiki nacho hakitakuwa mpaka atakapokuja mwenye haki wangu nami nitampa''
Shabaha
66. YOSIA ANAISIMAMIA KWELI
''Nitaleta mabaya juu ya mahali hapa...wala macho yako hayataona mabaya yote nitakayoyaleta''
Shabaha
Kuonyesha jinsi Yosia alivyosimama imara kumfuata BWANA katika maisha yake yote na akajaribu kuwahimiza watu wake wamtumikie Mungu kama alivyofanya yeye.
65. HEZEKIA-CHANGAMOTO KUTOKA ASHURU
''Nitaulinda mji huu ,niuokoe, kwa ajili yangu mwenyewe, na kwa jili ya
Daudi, mtumishi wangu''
Shabaha