CSSA 2-3-12 - NAAMAN THE SYRIAN
187. NAAMANI MTU WA SHAMU
CSSA 2-3-11 - ELIJAH AND ELISHA
186. ELIYA NA ELISHA
CSSA 2-3-10 - JUDGMENT UPON THE HOUSE OF AHAB
185. HUKUMU JUU YA NYUMBA YA AHABU
CSSA 2-3-09 - ELIJAH THE PROPHET WARNS THE HOUSE OF AHAB
184. NABII ELIYA ANAIONYA NYUMBA YA AHABU
CSSA 2-3-08 - THE DIVIDED KINGDOM—ISRAEL AND JUDAH
183. UFALME ULIOGAWANYIKA - ISRAELI NA YUDA
CSSA 2-3-07- THE WARNING OF SOLOMON'S OLD AGE
182. ONYO LA SULEMANI KATIKA UZEE WAKE:
CSSA 2-3-06 - THE GLORY OF SOLOMON'S REIGN — IT'S WEALTH AND FAME
181. UTUKUFU WA ENZI YA SULEMANI – UTAJIRI WAKE NA UMAARUFU:
CSSA 2-3-05 - THE TEMPLE OF SOLOMON
180. HEKALU LA SULEMANI
“Nyumba ninayojenga ni kuu, kwani ni Mkuu Mungu wetu kupita miungu yoteâ€
Daudi mfalme wa Israeli mkuu (kuliko wote), alikuwa ametamani kujenga Hekalu kwa jina la Yahwe. Lakini Mungu hakumruhusu Daudi; na hiyo ikawa ni heshima ya Sulemani, ambaye jina lake linamaanisha amani na ambaye enzi ya ufalme wake ilijulikana kwa amani, ili ajenge jumba lile tukufu ambalxdwake. Na mara amani ilipopatikana akaanza kazi ya maandalizi ya kujenga Hekalu.
1 Wafalme 4-8; 2 Mambo ya Nyakati 2- 7.
CSSA 2-3-04 - SOLOMON SUCCEEDS DAVID
179. SULEMANI ANAMRITHI DAUDI
“Ndipo Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha BWANA, awe mfalme badala ya Daudi babaye, akafanikiwa;nao Israeli wote wakamtiiâ€