348

348. KARAMU YA MWISHO NA GETHSEMANE

"Si mapenzi yangu,bali ako yatimizwe ..."

Jukumu la kwanza la Masihi lilikuwa kufa kwa ajili ya dhambi za dunia. Kufanya  hivyo ilibidi kuchukua asili kama ya binadamu wote, ili aweze kujua na kushinda matamanio yake na madhaifu. Jukumu kama hili lilikuwa mzigo mkuu kwa Bwana na ilikuwa katika Gethsemane ambapo ilifikia kilele. Upendo wake mkuu ulionekana katika karamu iliotangulia.

347

347. MFANO WA MWISHO: JINSI YA KUWA NA MAARIFA NA WAAMINIFU

"Njooni, mliobarikiwa na Babangu, mridhi Ufalme"

Katika Unabii wa Mizeituni Yesu aliwapa wanafunzi wake ishara kuhusu ujio wake. Katika mifano hii ya mwisho anaelezea vile wanafunzi wake wanapaswa kujishughulisha wakati hayuko ili wawe tayari kukutana naye.

346

346. UTABIRI KATIKA MLIMA WA MIZEITUNI NA LEO

"Kesheni na kuomba siku zote"

Wanafunzi walisikiza kukanwa kwa watawala wa Kiyahudi na wakasikia hitimisho la Bwana: “Tizama, nyumba yenu imeachwa kwa hali ya ukiwa” (Mt 23:38).

345

345. KUWAJIBU WAPINZANI WAKE

"Na hakuna  aliyedhubutu kumuuliza maswali yeyote"

Viongozi wa Kiyahudi walikuwa wamejawa na hasira kwa Yesu. Alikuwa ameonyesha mapungufu yao hadharani kwa kutumia mfano na “walijua kwamba alikuwa anaongea kuwahusu” (Mk. 12:12).

344

344. "TAZAMA, MFALME WENU"

"Heri ni kwa yule anayekuja kwa jina la Bwana”

343

343. YESU ANAWAPA WAFU UHAI

"Ugonjwa huu si wa mauti, bali kwa utukufu wa Mungu"

342

342.  MFANO WA KUTAFUTA “WALIOPOTEA"

“Itakuwa furaha kubwa mbuguni kwa ajili ya kila mwenye dhambi anayetubu . . .”

 

Yesu alisisitiza jinsi lilikuwa jambo la muhimu kwa yule anayetaka kuwa mwanafunzi wake;  kila mmoja wenu asiyeacha vyote alivyonayvo, hawezi kuwa mwanafunzi wangu” (Lk 14:33).

341

341. YESU ANAFUNZA KUHUSU MSAMAHA

"Hadi mara sabini mara saba"

340

340. USO WA YESU UNAGEUKA

"Huyu ni mwana wangu mpendwa, msikilizeni"

Katika Kaisarea Filipi, Yesu aliweka matumaini ya Kimasihi kwa wanafunzi wake kwa mtazamo unaofaa. Ilikuwa kweli kwamba Yesu alikuwa Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. Lakini pia hii ilimaanisha ni lazima angeteseka kabla ya kupata utukufu wa Ufalme. Wafuasi wa Yesu hawakuelewa hili na hivyo Yesu kuanzia wakati huu alisisitiza kwamba Msalaba lazima uje kabla ya taji.

339

339. UPINZANI UNAKUSANYIKA KATIKA KIVULI CHA MSALABA

"Lazima aende Yerusalemu na apate mateso mengi . . . na kuuawa"

Mwaka wa mwisho wa Bwana ulikuwa na uzindisho wa uchungu kama alivyoendelea kwa njia ambayo ingeelekea  kwa kifo chake. Shinikizo la upinzani zilikuwa zinaongezeka dhidi yake na tunamwona kama “Aliyedharauliwa na kukataliwa na binadamu; mtu wa huzuni na matatizo”.