CSSA 1-4-25 - JESUS ASCENDS TO HEAVEN

100. YESU ANA KWENDA MBINGUNI

“Huyu Yesu, aliyechukuliwa kwenu kwenda mbinguni, ataku tena jinsi iyo hiyo”

 

Shabaha

Ni kuonyesha jinsi Yesu alivyopaa kwenda mbinguni na akaahidi kuwa atarudi. Baada ya Yesu kufufuka katika wafu, aliendelekuwa wanafunzi wake kwa muda wa siku arobaini, kabla ya kuchukuliwa mbinguni kwenda mkono wa kulia Mungu.Wakati huu aliwafundisha mambo mengi sana alipokuwa akiwatayarisha kwa ajili ya kazi kubwa iliyokuwa mbele yao.