CSSA 3-2-279 - THE DEATH OF MOSES
279. KIFO CHA MUSA
"Jicho lake halikuwa na kiza â wala nguvu zake hazikupunguka"
279. KIFO CHA MUSA
"Jicho lake halikuwa na kiza â wala nguvu zake hazikupunguka"
278. KORA, DATHANI NA ABIRAMU
"Nayo Nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza"
277. WAPELELEZI KUMI NA WAWILI NCHINI
"Mbele ya macho yetu tulikuwa kama panzi ''
276. KWA NINI WAISRAELI WALISHINDWA
"Ni nani atakayetupa nyama tule"
Somo la 60
HATUA INAYOFUATA
Somo: Matendo 2
Imekuwa ni furaha kushirikiana nawe katika kozi hii ya kujifunza Biblia. Kwa sasa tumefikia mwisho wa masomo haya, na pengine unajiuliza: Nini kinafuata, au kitu gani nifanye? Kabla hatujajaribu kukusaidia kwa maswali haya, ni muhimu kukumbuka kozi hii ni kwa ajili ya nini. Tumekuwa tukikuonesha mafundisho ya msingi ya Biblia.
Somo la 59:
MUHTASARI WA MAFUNDISHO YA BIBLIA
Hii ni Habari Njema inayohusu Ufalme wa Mungu utakaoanzishwa hapa duniani, Yesu akirudi. Ni ujumbe unaopatikana katika Agano la Kale na Agano Jipya.
|
Mwanzo 22:17, 18 Mathayo 4:23 |
|
Somo la 58:
NEEMA YA MUNGU
Somo: Wafilipi 3
Tunavyokaribia mwisho wa kozi hii, inafaa tuyaangalie masomo yote na kukumbuka kile ambacho tumetaka kukipata. Tumeona kutoka katika Biblia kuwa, maisha mapya katika Kristo ni tofauti sana na maisha watu wanayoishi kabla ya kubatizwa. Ufuasi unataka kujizatiti kuufuata mfano wa Bwana Yesu Kristo, na anawataka watu wajipime kwanza kabla hawajafanya uamuzi kumfuata. Anasema:
Somo la 57:
IMANI NA KUUFANYIA UKRISTO KAZI
Somo: Waebrania 11
Mara nyingi katika masomo yetu haya, tumetumia neno âImaniâ. Sasa ni wakati wa kutazama na kuona ni nini waandishi katika Biblia wanachotutaka tuelewe juu ya neno hili. Ni neno linaloweza kutumika katika lugha yetu ya kawaida kwa namna kadhaa.
Somo la 56:
ZAWADI YA HALI YA JUU YA TUMAINI KATIKA MAISHA YAKO
Somo: Maombolezo 3
Tumaini ni mojawapo ya zawadi za maana sana zinazotoka kwa Mungu. Kwa upendo wake kwetu, alijua ni kwa kiasi gani mwanadamu angehitaji hili, na kwa namna alivyoushughulikia uanadamu wetu, ametuwezesha kuwa nalo hata katika mazingira yaliyo mabaya sana. Hebu funua Biblia yako usome waraka wa pili wa mtume Paulo kwa Wathesalonike, Sura ya pili, mstari wa kumi na sita na kumi na saba.
SOMO LA 55
HUKUMU
SOMO: 1 Wakorintho 15
Mojawapo ya njia zilizotumiwa huko nyuma kuwashawishi watu wajiunge na Ukristo, ilikuwa kuwatisha juu ya Kiti cha Hukumu cha Kristo. Kusudi la masomo haya ni kukuelezea faida na haja ya wewe kubatizwa katika Jina la Yesu. Kwa hiyo, ni muhimu tuangalie mada hii ya hukumu, kwa kuipitia mistari inayosemea jambo hili katika Biblia.