CSSA 3-3-309 - ELIJAH WARNS THE HOUSE OF AHAB
309. ELIJAH AONYA NYUMBA YA AHAB
"Hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii lakini kulingana na neno langu"
Katika kipindi cha miaka iliofuatia ugawanyikaji wa ufalme., historia ya makabila kumi ya kaskazini ilikuwa ni ile ya kuharibika, umwagikaji wa damu na mateso. Falme zote zilizofuata zilizidi kila moja kwa ukaidi- kwanza Yeroboamu (1 Fal. 14: 9), kisha Omri (1 Fal.16:25). Na hatimaye Ahabu (1 Fal. 16:30).