Correspondance Course - Lesson 34
Somo la 34
WAJIBU WETU KWA TAIFA
Somo: 1 Petro 2
|
Angalizo: |
Taifa ni nchi tunayoishi ndani yake (ambayo ndani yake kuna viongozi wake, sheria na taratibu zake). |
Somo la 34
WAJIBU WETU KWA TAIFA
Somo: 1 Petro 2
|
Angalizo: |
Taifa ni nchi tunayoishi ndani yake (ambayo ndani yake kuna viongozi wake, sheria na taratibu zake). |
Somo la 33
MATATIZO KATIKA NDOA
Somo: Mathayo 19
|
Mpango wa Mungu kwa ndoa ya Kikristo ni kwa waumini wawili, wa kike na wa kiume, kuishi pamoja kwa ajili ya utukufu wa Mungu. |
Somo la 32
NDOA YA KIKRISTO
Somo: 1 Wakorintho 7
Ndoa ni makubaliano ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja kuishi pamoja. Haitoshi tu kuwa na âkayaâ moja. Watu hao wawili ni lazima wajioneshe hadharani kuwa wanakuwa mume na mke, kwa hiyo makubaliano yao yanafanywa mbele ya mashahidi. Lakini, ndoa na Kikristo si hivyo tu.
Somo la 31
UBATIZO
Somo: Yohana 3
Baada ya kufufuka na kutoka kaburini, na muda mfupi kabla ya kupaa kwenda mbinguni, Bwana Yesu Kristo alisema ifuatavyo kwa mitume wake:
âEnendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini, atahukumiwaâ (Marko 16:15, 16).
Mambo mawili yako wazi sana katika maneno haya:
Somo la 30
IBILISI NA DHAMBI
Somo: Waebrania 2: 9 - 18
Ni kweli Biblia inamwongelea Ibilisi. Ibilisi ni nini au ni nani? Neno la Kiyunani ni âdiabolosâ. Hebu tuone kama Biblia inaweza kutupa jibu yenyewe.
Katika 1 Yohana 3:8 tunapewa sababu ya Mungu kumtuma Yesu; ni, âIli azivunje kazi za Ibilisi.â Alidhihirishwa kusudi anayofanya Ibilisi yasiwe yakishinda. Katika Waebrania 2:14 tunaambiwa pia kuwa, Yesu alikuja amharibu Ibilisi na kazi zake.
Somo la 29
IBILISI, MAPEPO, SHETANI
Somo: Mathayo 8:14-34
IBILISI NA PEPO
Kuna maneno mawili ya Kiyunani yaliyotafsiriwa âIbilisiâ katika Biblia zetu, na kwa kuwa yanamaanisha vitu tofauti, tutahitaji hasa kujua kila neno lina maana gani. Maneno hayo ni:
Daimon â lenye maana ya âroho mbaya au roho mwovuâ
Diabolos â lenye maana ya âmsingiziaji au mchongeziâ
Somo la 28
MALAIKA
Somo: Waebrania 1
Malaika ni wajumbe wa Mungu. Wanaweza kuuingia âuwepoâ Mtakatifu wa Mungu, kwa hiyo ni sharti wawe viumbe wasio na dhambi. Hatuambiwi malaika wako wangapi, ila tunajua hesabu yao ni kubwa kwa kusoma Waebrania 12:22, na Mathayo 26:53.
Malaika wanafanya nini?
Tutaviangalia vipengere hivi kimoja-kimoja:
Somo la 27
UZIMA WA MILELE
SOMO: Yohana 3
Utakuwa umekwishaona katika mafundisho haya ya Biblia ya kwamba, mwanadamu wa kwanza, Adamu, aliumbwa kwa Mungu kuutengeneza mwili kwa udongo, na kisha kuupulizia pumzi ya uhai. Lakini, Adamu na Hawa walikosa, na hivyo walibadilika na kuwa viumbe vinavyokufa.
Watu wote, wanaume kwa wanawake, hatimaye wanakufa, kwa kuwa wote wanakosa; ni wadhambi. Ni kitu kisichokubalika mbele ya Mungu, kwa wadhambi kuishi milele. Haiwezekani!
Somo la 26
HUKUMU
Somo: Mathayo 25
Ni lazima kumtii Mungu
Mfalme Daudi alipokuwa amekikalia âkiti chake cha enziâ katika jiji lake la Yerusalemu, aliazimia kulirudisha Sanduku la Agano la Mungu kutoka Kiriath-Yearimu, lilipokuwa limekaa kwa muda. Mkokoteni ulitegeshwa wa kukokotwa kwa mnyama. Yote yalipokuwa yametengemaa, makuhani wa Mungu walitembea kando-kando la hilo sanduku lilivyokuwa likivutwa.
Somo la 25
UFUFUO KUTOKA KWA WAFU
Somo: 1 Wakorintho 15
|
Neno âUfufuoâ maana yake ni kuwa hai tena |
Lazima lilikuwa ni tukio zuri sana la ajabu kuliko yote katika historia ya dunia, Yesu alipotoka kwenye kaburi lake, baada ya kuwa mfu kwa siku tatu. Wanafunzi wake walipomwona, hawakuweza kuyaamini macho yao. Walifikiri wanachokiona ni roho, lakini Yesu aliwaambia: