328
328. NIKODEMA ANAMJIA YESU USIKU
"Tunajua kwamba wewe ndiye mwalimu aliyetumwa na Mungu"
328. NIKODEMA ANAMJIA YESU USIKU
"Tunajua kwamba wewe ndiye mwalimu aliyetumwa na Mungu"
327. YESU ANABARIKIWA NA KUJARIBIWA
"Huyu ni mwanangu mpendwa, ninaye pendezwa naye"
Tumefikia hatua wakati Yesu alikuwa tayari kuonyeshwa hadharani kwa Waisraeli. Matayarisho yake kule Nazareti kwani kazi hii ilikamilika wakati sawa na ule watu walikuwa wanatayarishwa kwa ajili ya kuonekana kwa mahubiri ya binamu yake, Yohana Mbatizaji. Lengo la somo hili ni kuona mfano ambao Mungu ameweka mbele yetu katika masuala ya ubatizo na majaribu.
326. MAISHA YA AWALI YA YESU
âYesu akazidi kuongeze maarifa na kimo na kupendwa na Mungu na binadamuâ
Somo letu la mwisho la sehemu ya pili linatuelezea matukio yaliyozunguka kuzaliwa kwa Yesu hadi ibada ya wachungaji katika uwanja wakati walipopata wajumbe malaika, na wakamwona Masihi wa Israeli. Tunaendeleza maisha ya Yesu kuanzia hapa.
"Kiumbe mtakatifu atakayezaliwa na wewe ataitwa Mwana wa Mungu"
Somo hili limeandikwa kuhusu tukio kuu zaidi katika historia kufikia wakati huo. Kuzaliwa kwa Mwana wa Mungu kulifikisha kikomo ahadi ya kwamba mwokozi angekuja. Huyu ndiye angeleta baraka za Mungu kwa mataifa yote. Dunia iliyolaaniwa kama adhabu ya dhambi hatimaye itatukuzwa na binadamu kurejeshwa kwa neema ya Mungu.
"Miongoni mwa wale waliozaliwa na wanawake hakuna aliyezaliwa mkuu kuliko Yohana Mbatizaji"
"Nani atakayestahimili siku ya kuja kwake?"
Kazi ya kujenga upya hekalu ilikuwa imepokea msukumo kutoka kwa manabii Hagai na Zekaria. Nehemia alikuwa amerudi na kuchukua kazi ya kujenga ukuta. Alibakia Yerusalemu kwa miaka kumi na miwili na kisha akarudi kwa Artashasta (Neh. 13: 6).
Wakati alikuwa mbali uozo wa kiroho ulirudi na kurudi kwake kulileta mwanzo wa mageuzi (Neh. 13.). Matatizo aliokumbana nayo ni yale yaliotajwa katika unabii wa Malaki na inaeleweka kuwa Malaki alitabiri kwa wakati huu.
"Tuinuke na tujengeâ
Baada ya kurudi kwa kwanza kwa Wayahudi ndani ya nchi chini ya Yoshua na Zerubabeli, kulikuwa marejesho zaidi chini Ezra mwandishi. Miaka kumi na mitatu baadaye Nehemia alirejea Yerusalemu kama Gavana wa Wilaya. Wakazi walikuwa hawana matumaini na walivurugika. Ilihitaji mtu wa maombi, Imani na vitendo kuimarisha wananchi hawa wachache na kuhamasisha wananchi wenzake na hofu ya Bwana. Nehemia alikuwa mtu wa aina hio.
"Fahari ya mwisho ya nyumba hii itakuwa kuu kuliko ya kwanza"
"Mungu atamjulisha Mfalme Nebukadzera yatakayo tokea katika siku za baadaye"
Ukweli kwamba Mungu huogoza hatima ya mataifa umeonyeshwa wazi katika ndoto ambayo Mungu alimpa Nebukadreza na tafsiri yake. Kama Nebukadreza aliwaza akiwa kitandani kuhusu hatma, alionyesha kwamba falme za duniani na nguvu zake zitahukumiwa na kunyenyekea chini ya Ufalme wa Mungu.