Wayahudi katika Historia - Somo la 14
Somo la 14
WAYAHUDI KATIKA HISTORIA (Sehemu ya 2)
Somo: Ezekieli 37
Bonde la mifupa-mikavu
Ezekieli alipewa maono ya ajabu. Yapo katika Ezekieli, Sura ya 37. Yalikuja kwa awamu tatu:
|
1. Ezekieli alioneshwa bonde lililojaa mifupa mikavu sana. |